BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ULINZI WAIRISHWA WAKATI WA MAPOKEZI YA MWILI WA ALBERT MANGWEA KIHONDA MOROGORO.

 
 WAKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO NA VITONGJI VYAKE WAKITAKA KUSUKUMA GARI LILILOBEBA JENEZA LENYE MWILI WA ALBERT MANGWEA MARA BAADA YA KUTOLEWA NDANI KWA MAMA YAKE MANGWEA KIHONDA MOROGORO LAKINI NAFASI HIYO HAWAKUWEZA KUIP
ATA NA KULAZIMIKA DEREVA WA GARI HILO KUONGEZA MWENDO HUKU LIKIONGOZWA NA KING'OLA CHA JESHI LA POLISI KUELEKEA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI MAJIRA YA SAA 1:45 USIKU HUU. 
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
 MKUU WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI WILAYA YA MOROGORO  ABDALLAH HUSSEIN KULIA AKIWAPA MAELEKEZO ASKARI ILI WAWASOGEZO WANANCHI ILI IPATOAKANE NAFASI YA KUTOA JENEZA LENYE MWILI WA MANGWEA UKAHIFADHI CCHUMBA CHA KUHIFADHI MAITI HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO.
 ASKARI KANZU AKIWA KWENYE LINDO MARA BAADA YA JESHI LA POLISI KUONGEZA ASKARI KWA AJILI YA ULINZI NYUMBANI KWA MAMA YAKE MANGWEA KIHONDA MARA BAADA YA KUWASILI KWA MWILI WA MANGWEA MAJIRA YA SAA 12 JIONI
 ASKARI AKIWA AMEOKOTA KANDAMBILI NA KUZINADI KWA MWENYEWE BAADA YA KUWASOGEZA WATU AMBAO WALIZIBA SEHEMU YA MLANGO WAKATI WAKITAKA KUONA JENEZA LENYE MWILI WA MANGWEA WAKATI LIKTOLEWA NDANI NA KWENDA KATIKA CHUMBA CHA MAITI CHA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO.
  HAWA NI WALINZI KUTOKA DAR AMBAO WAPO KATIKA KAMATI YA MAZISHI YA MAREHEMU MANGWEA WAKIWA WAMEKAA MLANGONI WAKATI JENEZA LENYE MWILI WA MAREHEMU ALBERT MANGWEA NYUMBANI KWA MAMA YAKE KIHONDA MOROGORO BAADA YA KUWASILI KUTOKA DAR ES SALAAM MAJIRA YA SAA 12 JIONI
 ASKARI WAKIWATWANGA MASWALI KWANINI MMEPANDA JUU ?, JIBU ILIKUWA JEPESI TU, TUNATAKA KUONA JENEZA LA MANGWEA MSHKAJI WETU.
 P-FUNK a.k.a MAJANI KULIA NA AFANDE SELE (SELEMAN MSINDI) MUDA MFUPI BAADA YA MWILI KUWASILI KIHONDA MOROGORO.
 HUYO NDO KITALE ? ANAWAPA HI WASHKAJI MARA BAADA YA KUWASILI KWA MWILI WA MANGWEA NYUMBANI KWAO KIHONDA MOROGORO SAA 12 JIONI.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: