Mwili wa ngwea utaletwa Tanzania siku ya jumanne na siyo leo (jana).
Taarifa hizi nikwa mujibu wa tweet alotweet Millard Ayo aliyeko nchini africa kusini ulipo mwili wa marehemu Ngwair.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Kamati
ya msiba tunaomba kutoa ya taarifa kwamba mwili wa Ndugu yetu Albert
Mangwea hautoweza kufika siku ya jumapili ya tarehe 2/06/2013 kama
ilivyo taarifa hapo awali, hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya
uwezo wetu.
Kwa sasa tunasubiri taarifa kamili kutoka kwa wenzetu/wawakilishi wetu waliopo nchini Afrika Kusini, mara tutakapopata taarifa hizo tutawafahamisha zaidi.
Tunaomba radhi watanzania wote kwa usumbufu wote uliojitokeza tushirikiane na uvumilivu kwa hili.
Asante

0 comments:
Post a Comment