BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ASKARI APAMBANA NA DEREVA ANAYEDAIWA KULEWA POMBE KISHA KUTAKA KUENDESGA GARI LA ABIRIA MORO.

Askari wa jeshi la polisi akimnasua dereva wa daladala aliye ng'ang'ania katika mshikio wa kioo cha kuangalia nyuma cha dereva katika eneo la kutokea magari ya stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa ya Morogoro baada ya dereva huyu kudaiwa kunywa pombe huku akitaka kuend
esha gari la abiria Mjini-Kihonda jambo ambalo askari huyu baada ya kupata taarifa alipingana asiendeshe na kuchukua jukumu la kumpeleka kituo kikuu cha mkoa wa Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM

 Hapa akisaidiwa na askari wa ulasama barabarani.
Mambo naye aliongeza nguvu wakati wakimpeleka kituo kikuu cha polisi dereva huyo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: