Balozi wa Uholanzi anaemaliza mda wake hapa nchini Mhe. Dk Ad Koekkoek akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda alipofika kumuaga Ofisini kwake leoBalozi wa Uholanzi anaemaliza mda wake hapa nchini Mhe. Dk Ad Koekkoek akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda alipofika kumuaga Ofisini kwake leoMhe. Balozi akifurahia jambo na Mhe. Spika baada ya kumaliza maongezi. Kushoto ni Msaidizi wa Balozi Bi. Agness HantiMkono wa kwa heri
Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
0 comments:
Post a Comment