Mgeni
rasmi, Rais Jakaya Kikwete akizindua huduma mpya ya Benki ya Posta
iitwayo TPB POPOTE mapema leo mchana kwenye hotel ya Serena jijini Dar
,hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo ya kibenki na
wengineo, lengo kuu ya uzinduzi wa huduma hiyo ikiwa ni kuweka na kutoa fedha
kupitia Mawakala wa Benki ya Posta nchini Tanzania.Kushoto ni Waziri wa
Fedha Dkt.William Mgimwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Posta,Profesa
Lettice Rutashobya na kulia kwake ni Afisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo
Bw.Moshingi wakishuhudia tukio hilo adhimu kabisa.
Rais
Jakaya Kikwete akijaza fomu yake ya huduma hiyo mpya ya TPB POPOTE
iliyozinduliwa na Benki ya Posta mapema leo mchana kwenye hotel ya
Serena jijini Dar ,hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa mambo
ya kibenki na wengineo, lengo kuu ya uzinduzi wa huduma hiyo ikiwa ni
kuweka na kutoa fedha kupitia Mawakala wa Benki ya Posta nchini Tanzania.Pichani kulia ni Waziri
wa Fedha Dkt.William Mgimwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya
Posta,Profesa Lettice Rutashobya na kushto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa
benki hiyo Bw.Moshingi wakishuhudia tukio hilo adhimu kabisa.
Rais Kikwete akipewa maelezo mafupi namna ya kuitumia huduma hiyo ya TPB POPOTE kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Posta.
Rais Jakaya Kikwete akikabidhiwa kadi yake mpya ya huduma mpya TPB POPOTE na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Bw.Moshingi ,mara baada ya huduma hiyo kuzinduliwa rasmi mapema leo .
Mgeni rasmi,Rais Kikwete akikabidhiwa zawadi kut0ka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Posta,Profesa Lettice Rutashobya
Picha pamoja.
Rais
Jakaya Kikwete akiondoka mara baada ya kuzindua huduma mpya ya TPB
POPOTE iliyozinduliwa na Benki ya Posta mapema leo mchana kwenye hotel
ya Serena jijini Dar ,hafla hiyo imewakutanisha wadau mbalimbali wa
mambo ya kibenki na wengineo, lengo kuu ya uzinduzi wa huduma hiyo ikiwa
ni kuweka na kutoa fedha kupitia Mawakala wa Benki ya Posta nchini Tanzania.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment