BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ELIMU SIO MAJENGO, ILIMRADI WATOTO WANASOMA.

Wanafunzi wakimsubiri mwalimu ili kuweza kuwafundisha somo huku wakiwa wamekaa katika vipande vya mawe ambapo hali kama hiyo huwakumba wanafunzi wanaosoma shule zilizopo pembezoni mwa wilaya hapa nchini hukumb
wa na hali hiyo jambo mara chache hutokea kwa shule zilizopo maeneo ya mijini.Khalfan Haji's photo.Mwalimu akifundisha wanafunzi wakati wa masomo ya kila siku baada ya kupandika ubao katika mti wa mbuyu na eneo hilo kuegezo darasa iliradi watoto kupata elimu ya msingi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: