1. Nakupenda lakini Sina Hisia nawe (Kwa wale ambao bado hawajaoana).
Hii ni
dalili kwamba Mpenzi wako ana mtu mwingine nje na inawezekana kabisa
kwamba yeye ndo anapendwa zaidi yako wewe hata kama muda mwingi upo nae!
Anakutumia tu huyo !.
2.Sisi ni Marafiki tu!
Kwa amnbao
bado hawajaoana Ukimuuliza Mpenzio unanichukuliaje au mimi ni nani kwako
anakuwa anasuasua sana sana utaambiwa ni marafiki tu.Na kwa ambao tupo
katika Ndoa ukiuuliza vipi mbona nakuona una mazoea ya karibu mno na mtu
fulani? Utaambiwa ni Rafiki tu!
3 Nahitaji muda wa kufikiria kuhusu hisia zangu!
Hili nijibu
tosha kwamba Kuna Mwenzio ambaye anamchanganya akili mpenzi wako na ndio
maana anakuwa hivyo! Anza kukaa tayari au mguu nje, mguu ndani!
4.Mabadiliko ya Ratiba za Kazi
Kwa wale
ambao tupo ndani ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu, utaliona hili, mara
kurudi late sana, ubize umekuwa mwingi mno hadi weekend! Na dharula za
kikazi zisizoisha!
5. Kutumia Muda Mwingi katika Computer
Kama ameweza
kujizuia kutoka toka hovyo, basi anaweza kuwa mtumiaji mzuri na wa muda
mrefu wa Computer, atakaa hapo ata chat na kuongea na wezi wako tani
yake, na unaweza usilijue hili kwani atakuambia ana kazi za ofisini
anamal
6. Simu za Siri, Simu kuwa locked!
Siku hizi
simu zimekuwa nyingi, za usiku, mara simu ikipigwa ananyanyuka kwenda
chumb
ani au kujificha kidogo, mara simu ikipigwa inakwatwa! Na ya kufanana na hayo !.
ani au kujificha kidogo, mara simu ikipigwa inakwatwa! Na ya kufanana na hayo !.
7. Tabia yoyote yenye kutia Mashaka!
Waswazi
wanasema "Wasiwasi ndo Akili" Basi wasiwasi wako huenda ukakupa akili
juu ya nini kinachoendelea na ukapata njia ya kuubaini ukweli!
Ukiyaona
haya au ya kufanana na haya kaa ukijua kuna kidudumtu kinawala na
kitawatenganisha, Ni vyema ukachukua hatua! Pia Jiandae Kudanganywa !.
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment