na mwaminifu katika vitendo
vyake, kwani funga ni ibada ya siri iliyo baina ya mja, na Muum
ba wake, na hakuna anaeweza kujua ikiwa mtu kafunga, au hakufunga.
ba wake, na hakuna anaeweza kujua ikiwa mtu kafunga, au hakufunga.
Kama vile alivyo kuwa mkweli
katika saumu yake, basi itampelekea kuwa mkweli katika vitendo vyake mengine, kwani
kusudio na lengo la vitendo vyote ni
moja tu, nalo ni kumcha
Mwenyezi Mungu na
kutafuta radhi Zake ili
vitendo vyake viweze ukubaliwa,
na kuepushwa na moto wa
jahanam na kupelekwa Peponi.
Maana yake, “Enyi mlioamini!
Mcheni Mwenyezi
Mungu na kuweni pamoja na
wakweli.” Na fadhila za
ukweli ni kuingizwa peponi.
Kutoka kwa Ibn Masoud R.A.A. kasema,
"Kasema
Mtume S.A.W.21 Kasema Mwenyezi Mungu S.W.T.
katika
Surat AT-Tawba aya ya 119
kuhusu kuwa mkweli,
Saumu inamuondolea mtu
maradhi. Imethibiti kutoka kwa madaktari wa kileo kuwa funga inaondoa maradhi
mengi katika mwili wa mwanaadamu, ambayo yameambatana na uzito wake.
Kama vile maradhi ya mapigo
ya moyo, kuvimba moyo, maumivu ya mwili, na maradhi mengi mengineyo.
Hadithi iliyotolewa na Abu Ubeida
iliyonasibishwa na Mtume S.A.W. kasema, "Kasema Mtume S.A.W.22, “Saumu
inamzuia mtu na matamanio yake.
Saumu inamzuia mtu na
matamanio yake, ambayo huwa ni ushawishi wa sheitani aliye laaniwa.
Kasema Mtume S.A.W. kuwa nahisi
vijana wasioweza
kuoa, kufunga ili kukata
matamanio yao.
Hadithi ya Alqama kasema19.
“Kasema Mtume S.A.W.
“
SAUMU INAMUONDOLEWA MTU MARADHAU.
Imethibiti kutoka kwa
madaktari wa kileo kuwa funga
inaondoa maradhi mengi katika
mwili wa mwanaadamu, ambayo yameambatana na uzito wake.
Kama vile maradhi ya mapigo
ya moyo, kuvimba
moyo, maumivu ya mwili, na
maradhi mengi mengineyo.
Hadithi iliyotolewa na Abu Ubeida
iliyonasibishwa na Mtume S.A.W. kasema, "Kasema Mtume S.A.W.22 اMaana yake,"Salini mtashinda, toeni zaka
mtafaulu, na fungeni saumu mtapata afya, na safirini mpate kutajirika.” 22 Al-Imamu
Al Rabi`u 1/122 (291).
0 comments:
Post a Comment