Majeruhi aliyeruhiwa wakati wa vurugu za maandamano nchini Misri.Maiti
zikiwa zimerundiana katika chumba mara baada ya kuuawawa wakati wa
vurugu katika maandamano ya kupinga kupinduliwa kwa rais aliyechaguliwa
kidemokrasi Mohammed Morsi hivi karibuni.
0 comments:
Post a Comment