Polisi
wakimsihi Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari aondoke nje ya
kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya KiAmandolu,pamoja na makada
wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita 200 badala ya mita
100.
Polisi
wakimsihi Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari aondoke nje ya
kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimand
olu,pamoja na makada wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita 200 badala ya mita 100.
olu,pamoja na makada wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita 200 badala ya mita 100.
Makarani
wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata ya
Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi kimandolu.
Makarani
wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata ya
Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi kimandolu.
Polisi
wakiimarisha ulinzi katika lango kuu la kuingilia kituo cha kupigia
kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu katika uchaguzi ulifanyika leo mjini
Arusha.
Mkazi wa
kata ya kimandolu akichomvya wino mara baada ya kukamilisha zoezi la
kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika jana katika kituo cha kupigia
kura cha ofisi ya kata.
Mkazi wa Kata ya Kimandolu akitumbukiza kura yake wakati wa uchaguzi wa madiwani uliofanyika mjini Arusha.
Mkazi wa
kimandolu,Juliana Mosha akitumbukiza kura yake katika sanduku la kura
katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika jana kuziba nafasi ya aliyekuwa
diwani wa kata hiyo,zoezi hili lilifanyika katika kituo cha kupigia
kura cha ofisi ya kata
Dina
Naftal Mkazi wa kata ya kimandolu akitumbukiza kura yake katika sanduku
la kura katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika jana kuziba nafasi ya
aliyekuwa diwani wa kata hiyo,zoezi hili lilifanyika katika kituo cha
kupigia kura cha ofisi ya kata.
Wakala
wa chama cha siasa akihakiki kitambulisho cha mpiga kura kabla ya
kuruhusiwa kupiga kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo ya
Kimandolu,zoezi hili lilifanyika katika kituo cha kupigia kura cha ofisi
ya kata
Wakazi
wa kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba
husika vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika
jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata
Wakazi
wa kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba
husika vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika
jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata
Wakazi wa
kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba husika
vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika jana
katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata
Wakazi
wa kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba
husika vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika
jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata
Polisi
akiwasogeza wananchi waliokuwa karibu na kituo cha kupigia kura cha
Shule ya msingi Kimandolu ambapo walitakiwa kukaa umbali wa mita 200 na
sio mia 100 kama ilivyozoeleka.(Picha zote na Ferdinand Shayo)
About mtanda blog
Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
0 comments:
Post a Comment