BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWZZZ :SHEIKH PONDA AJERUHIWA KWA RISASI MJINI MOROGORO

clip_image001 

 Habari zilizotufikia muda huu Sheikh Ponda ajeruhiwa kwa risasi mjini morogoro katika Mkutano wa Muhadhara, Machafuko hayo yalitokea baada ya kuisha kwa Muhadhara huo wakati wakeielekea Katika Msikiti wa Mungu mmoja wakati wako njiani walipigwa mabomu ya machozi na Kupigwa Risasi na ndipo Sheikh Ponda alipo jeruhiwa…Hadi sasa Haijajulikana Wapi alipo.CHANZO CLOUDS

Share on Google Plus

About Anonymous

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: