BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIKI NDICHO AMBACHO KILIJIRI MAONYESHO YA WAKULIMA 88 KANDA YA MASHARIKI UWANJA WA MWL NYERERE MORO.

Raia wa kigeni akiwa amewabeba watoto wake begani na mungine akiwa katika kiuno akisafiri nao kutoka sehemu moja kwenda nyingine wakati wa kilele cha maonyesho ya wakulima nane nane kanda ya mashariki yaliyofik
ia kilele hivi karibuni katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere mkoani Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Mwanachama wa kikundi cha Nzasa Woman Group wilaya ya Temeke, Somoye Islam akisaga mtama ili kupata mchele na unga kutumia mawe yaliyotengenezwa maalum kwa ajili ya kusaka na kukoboa aina mbalimbali za nafaka wakati wa manyesho ya wakulima ya nane nane kanda ya mashariki katika viwanja vya Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani Ahmed Kipozi kushoto akimweleza jambo mgunduzi wa mashinde ya kubangua karanga Said Geregeza juu ya kuibiresha mashinde hiyo kuwa ya kisasa wakati alipotembelea banda la halamshauri ya Kilindi wilaya ya Tanga katika maonyesho ya wakulima ya nanenane kanda ya mashiriki katika viwanja vya kimataifa vya Mwl Julius Nyerere mkoani Morogoro. kulia ni Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Jordan Rugimbana
Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Abdallah Kigoda akimwangalia Rehema Salim wakati akimuonyesha chungu kilichoundwa kutumia udongo wa mfinyanzi na kutumia makaa yaliyotengenezwa kwa malighafi ya makaratasi  wakati wa maonyesho hayo kwenye banda la halmashauri ya Handeni Tanga.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: