BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIVI NDIVYO RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOWAAPISHA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU WAPYA WA WIZARA MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

do9

Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani) akimuapisha Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Habari ,Vijana , Utamaduni na Michezo Sihaba Nkinga (kulia) leo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.3-- NKM Ole gabriel (kulia) akiapishwa na JK
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Prof.Elisante Ole Gabriel Laizer ( kulia) leo katika hafla Ikulu Dar es Salaam,PICHA NA MWANAKOMBO JUMAA WA MAELEZO.
5-jk akimuapisha mama shel-(kulia)Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akimpongeza na kumkabidhi zana za kufanyia kazi  Naibu Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Rose Shellukindo (kulia)6- picha ya pamoja waziri wa habari na timu yake mpyaPicha ya pamoja ya Waziri wa Hbari , Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt, Fenella Mukangara (wapili kulia mstari wa mbele) Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla(kulia mstari wa mbele), Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo, Sihaba Nkinga(mwenye mauawa) ,Naibu Katibu Mkuu mpya Prof. Elisante Ole Gabriel Laizer (wa kwanza kashoto mwenye miwani) pamoja na baadhi ya  wakurugenzi wasaidizi katika  wizara hiyo na baadhi ya  watendaji, wakuu wa wizara,7- CDF Mwamunyange  na JK (kushoto) wakisalimianaRais Jakaya Kikwete (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya JWTZ, Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) wakati wa sherehe za kuwaapisha Makatibu wakuu wapya pamoja na Manaibu Katibu wakuu waWizara mbalimbali leo katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.8-jk akimuapisha mama mwamunyange (kulia)Rais Jakaya Kikwete (kulia) akimuapisha Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange.(kulia).9-picha ya pamojaPicha ya pamoja  akiwepo na Rais Jakaya Kikwete ( wa sita kutoka kulia mstari wa mbele) akifuatiwa na Makamu wa RaisDkt. Muhamaed Gharib Bilal.pamoja na Makatibu Wakuu wapya na Manaibu wake,
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: