BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HIZI HAPA NDIZO ADHABU YA WABEBA MADAWA YA KULEVYA BAADA YA KUKAMATWA BAADHI YA NCHI ZA WENZETU.

Ukikamatwa Saudi Arabia, kama mkiwa wengi

mtaadhibiwa kwenye kifaa hiki.

Kama siku hiyo mpo wachache, au ukiwa peke yako, utamalizana nao kwa style hii.
Ukikamatwa Pakistani, utaadh
ibiwa hivi.

Au wakikuhurumia watakufanya hivi..

Ukishikwa China, watakupiga risasi mbele za watu, 


Kwanini u'risk maisha yako?

Kijana, fikiria mama yako aliyekuzaa akiona unaishia hivi atasononekaje moyoni mwake?

Ni kweli umeishiwa mbinu za kujipatia kipato kwa njia nyingine halali ?.

Kijana wa Kitanzania, wewe ni spesho hakuna kama wewe.

Hakuna kitu chenye thamani kama maisha yako.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: