Wafuasi wa rais aliyepinduliwa Misri Mohamed Morsi wakizingira gari la
polisi wakati wa mapambano na vikosi vya usalama vya Misri katika mtaa
wa Cairo wa Mohandessin, Misri, Augusti 14, 2013.Wafuasi wa rais aliyepinduliwa Misri Mohamed Morsi wakiimba nyimbo dhidi
ya waziri wa ulinzi Gen. Abdel-Fattah el-Sissi wakati wa mapambano na
vik
osi vya usalama katika mtaa wa Cairo wa Mohandessin , Augusti 14,
2013. Supporters of ousted Islamist President Mohammed Morsi carry another as
Egyptian security forces clear a sit-in camp set up near Cairo
University in Cairo's Giza district, Egypt, August 14, 2013. A wounded protester lies on the ground as Egyptian security forces clear
the smaller of the two sit-ins by supporters of ousted Islamist
President Mohammed Morsi, near the Cairo University campus in Giza,
Cairo, Egypt, August 14, 2013.Fires burn as Egyptian security forces clear a sit-in by supporters of
ousted Islamist President Mohammed Morsi in the eastern Nasr City
district of Cairo, Egypt, Aug. 14, 2013.
SERIKALI ya Misr imetangaza amri ya dharura kote nchini kuanzia hii leo,
kwa muda wa mwezi moja kufuatana na taarifa ya rais iliyotangaza na
televisheni ya taifa.
Taarifa hiyo ina liamrisha pia jeshi kukisaidia kikosi cha polisi "kutanzua mzozo unaotokea kote Misri."
Taarifa hiyo imetolewa wakati vikosi vya usalama vilikuwa vinashambulia
makambi mawili kuwaondowa wafuasi wa rais aliyeondolewa madarakani
Mohamed Morsi kati kati ya mji mkuu wa Cairo.
Wakati huo huo kumekuwepo na ripoti zinazotofautiana hii leo juu ya
idadi ya watu walouliwa na walojeruhiwa katika ghasia zinazotokea kote
nchini. Wizara ya afya inaeleza watu 95 wameuliwa na wengine 974
kujeruhiwa kote nchini.
Hata hivyo baadhi ya wanachama wa chama cha Muslim Brotherhood cha
Morsi wanasema idadi ya walofariki imefikia hadi 2,200 na wengine elfu
10 kujeruhiwa. sauti ya amerika haijaweza kuthibitisha idadi hizo zote
zinazotolewa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment