BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWILI WA BINADAMU WAKUTWA UMETELEKEZWA KATIKA MSITU WA KIBAMBA.



Pichani ni Mwili wa Mtu aliyekutwa katupwa katika Msitu
 wa Kibamba Hospitali na Makondeko Luguruni, ukiwa katika 
hali mbaya kutokana na kudhaniwa kuwepo kwa takribani siku
 4 na zaidi, mpaka sasa hajatamb
ulika kwa jina, kutokana na kuharibika. 

Kikosi cha Askari kwa kushirikiana na Mjumbe wa Nyumba kumi kumi, Serikali ya Mitaa, kwa pamoja wamekubaliana kuuzika Mwili huo Pale alipokutwa katelekezwa. Baadhi ya Askari wakiwa eneo la Tukio kwa 
Maziko na Uchunguzi.
Halii hiyo imesababis
ha hofu kwa wakazi wa Maeneo ya Kibamba, Mbezi 
na Vitogoji vya Jirani. 
Hivyo wameitaka serikali kuongeza jitihada za 
Ulinzi ususani wakati wa Usiku katika Bonde la 
Makondeko kuelekea Kibamba Hospitali.
 (Picha Zote na Shaaban Mpalule).
 Baadhi ya wakazi wa Maeneo ya Kibamba na Makondeko, wakijaribu kutambua  Mwili huo ambao umekutwa Eneo alikokutwa katelekezwa, Bondeni kutoka katika Daraja
 la Kibamba Hospitali na Makondeko.
Baadhi ya wakazi wa Maeneo ya Kibamba na Makondeko, wakijaribu kutambua  Mwili huo ambao umekutwa Eneo alikokutwa katelekezwa, Bondeni kutoka katika Daraja 
la Kibamba Hospitali na Makondeko.
VIA/michuzijr.blogspot.com

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: