BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NGUO YA NDANI YAOKOA MAISHA YA MWANAUME ALIYETAKA KUJIUA HUKO NCHINI CHINA.

MKE AMSHIKILIA KWA DAKIKA 20.                The woman was forced to get a stronger hold on her husband and had to wait 20 minutes before police or firefighters could get to him

Mke alimshikilia mume wake kwa dakika 20 kabla police na waokoaji hawajaja kumsaidia.
Rescuers managed to pull 45-year-old Wang Li to safety, who is understood to have been depressed about lack of work
                         Hapa akijitahidi na yeye kurudi ndani

MAJIRA ya saa moja na dakika arobaini asubuhi,jumatano mwanaume aliyetambulika kwa jina la Wang Li alit
aka kujiua kwa kujirusha dirishani kutoka ghorofa ya sita anakoishi. 

Aliporuka tu mke wake alimuwahi kwa kushika boxer yake na baadae alimshika mguu akiacha upande mwingine unaoonekana ukining'inia dirishani.
 
Polisi waliitwa lakini polisi hao wanne wa kwanza walishindwa kufungua mlango. 


Baadae kwa msaada wa majirani waliweza kubomoa mlango na kumvuta baba huyo na kumrudisha katika hali ya usalama. 

Baadae walikuja kujua kuwa Wang Li mwenye miaka 45 alichoshwa na maisha ya kukosa kazi na ndio maana alitaka kujiua.


Mke wake alishikilia mguu wa mume wake kwa dakika 20 kabla msaada haujaja,sio mguu mdogo ukizingatia alikuwa na urefu wa sentimita 175 na uzito wa kilo 65.

 
Majiran walikuwa wanachungulia madirishani ili waone tukio hilo
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: