Rais wa chama cha riadha Tanzania na Mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony
Mtaka (katikati) akifafanua jambo wakati akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya mashindano ya taifa ya riadha ya Chilly Willy National Athltics-Champ
ionship katika hoteli ya Nashera yanayoanza kutimua vumbi leo kwa siku mbili katika uwanja wa jamhuri kwa mbio fupi na ndefu mkoani Morogoro jana. kutoka kulia ni mwakilishi wa wadhani wa mbio hizo kutoka PPF, Mhasibu wa mfuko wa PPF kanda ya mashariki, Joseph Fungo na kushoto ni Meneja masoko wa TSN Group, Yohana Manoli. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Rais wa chama cha riadha Tanzania na Mkuu wa wilaya ya Mvomero Anthony Mtaka kulia akiwa na mwakilishi wa wadhani wa mbio za riadha kutoka TSN GROUP Yohana Manoli kupitia kinywaji chao cha Chilly. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Mratibu wa Morogoro Press Club Thadei Hafigwa kushoto akiwa na waandishi katika tukio hilo.PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Huyu ni Mdada Kasilda Mgeni akiwajibika kwa kupiga picha kwa ajili ya Star TV. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Fitina Haule wa Nipashe kushoto na Lilian Justice wa Majira kulia wakiandika dondoo wakati wa mkutano huo.PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment