BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SAKATA LA SHEIKHE ISSA PONDA: WAISLAMU WAGEUZA KITUO KIKUU CHA POLISI MORO KUWA SEHEMU YA SWALA.


Waumini wa dini ya kiislamu Manispaa ya Morogoro wakiwa katika ibada ya swala ya adhuri eneo la kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro wakati viongozi wa dini hiyo wakiwa na viongozi wa jeshi la polisi katika tume huru ya jinai iliyounda na makao makuu ya jeshi hilo kuchunguza tukio la kujeruh
iwa kwa Sheike Ponda Issa agosti 10 mwaka huu katika uwanja wa shule ya msingi Kiwanja cha Ndege mara baada ya kumalizika kwa kongamano la kidini la idd pili mjini hapa, kwa kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi.
JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
 Wakirukuu.
Wakiwa wamefunga swala.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: