BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SHEIKHE PONDA APANDISHWA KIZIMBANI MAAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MORO, APALEKWA MORO KWA USAFIRI WA ANGA.

Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Issa Ponda akiwasikiliza mawakili wake, IGNAS PUNGE, NA BATLOMEO TARIMO kushoto muda mrepi kabla ya kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya mkoa wa Morogoro. Sheikh Ponda amefikishwa mahakamani hapo chini ya ulin
zi mkali akisindikizwa na msafara wa magari yaliyokuwa na polisi. Ponda amesafirishwa kutoka jijini Dar es Salaam mpaka mkoani Morogogro kwa usafiri wa helkopta iliyotua katika viwanja vya Gymkhana.  kwa matukio zaidi ya kupandishwa Sheikhe Ponda yatajili punde endelea kutembelea blog  JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: