BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TASWIRA YA MAONYESHO YA NANE KANDA YA MASHARI UWANJA WA KIMATAIFA WA MWL JULIUS NYERERE MOROGORO.

 Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera kushoto akitembezwa katika vipando vya banda la halmashauri ya Manispaa ya Morogoro na Kaimu Mkurugenzi DK Izack Kama kulia katika maonyesho ya wakulima kanda ya mashariki uwanja wa kimataifa wa Mwl Julius Nyerere Nanenane Manispaa ya Morogoro. 
PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
 Haya ndiyo mahin
di.
 Bendera akijionea vitunguu na matikiti maji katika vipando hivyo.
 Hii ndiyo mbona ya majani ya sukumawiki.
 Mtama ukiwa umestawi katika vipando vya banda la halmashauri ya Manispaa ya Morogoro.
 Jengo la banda la Tanga City Council
 Hizi ndizo nyanya katika vipando vya jiji la Tnaga.
 Bata wakiwa wamepumzika katika banda lao katika eneo la Magereza
 Mimea ya kunde ikiwa imestawi katika maonyesho hayo.
 Kabechi nayo ikiwa imestawi.
Chainizi nayo ikiwa imependeza kutokana na kupata virutubisho stahiki katika ardhi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: