BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WATOTO WA MAREHEMU BILIONEA ERASTO MSUYA ALIYEPIGWA RISASI HIVI KARIBUNI NA KUFARIKI DUNIA WAWASHUHUDIA WATUHUMIWA WA MAUAJI YA BABA YAO.

Watoto wa marehemu Erasto Msuya wakiwa na shangazi zao Esta Msuya (kushoto) na Antuja Msuya (kulia) kwenye Mahakama ya hakimu mkazi Moshi Mkoani Kilimanjarao jana.

Watoto hao na shangazi zao walishuhuduia watuhumiwa wa mauaji ya baba yao wakisomewa masht
aka mbele ya Hakimu mkazi Munga Sabuni na Mwendesha mashtaka Stella Majaliwa aliwataja washitakiwa hao kuwa ni Shariff Mohamed Athumani (31) Shwaibu Jumanne Said (38) na Musa Mangu (30). Picha na mdau  Joseph Lyimo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: