BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WIMBI LA KUKAMATWA KWA WASICHANA WANAOBEBA MADAWA YA KULEVYA YASHIKA KASI.

MADAWA YA KULEVYA YAGEUKA HABARI YA MJINI: CHEKI WALIMBWENDE HAWA WALIVYOBAMBWA NA MADAWA YA KULEVYA!

SNA1301Z---_1783676a
VITENDO vya usafirishaji wa madawa ya kulevya vinazidi kuendelea duniani na safari hii wasichana wawili wadogo kabisa, mmoja mwenye umri wa miaka 19 na mwingine umri wa miaka 20 wote wawili wamekamatwa kwenye airp
ort ya Lima nchini Peru wakijaribu kusafirisha mzigo huo. 

Passport za mabinti hao zinawatamburisha kama raia wa uingereza na huko ndiko mzigo huo ulikuwa unaelekea.
 
Baada ya kukamatwa na polisi mabinti hawa Mellisa 19 na Michaella 20, walikubali kosa hilo la kujaribu kusafirisha madawa ya kulevya aina ya Cocaine na hadi hivi sasa wapo kwenye mikono ya polisi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: