BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BAN KI MOON KUIKAANGA SYRIA JUU YA UCHUNGUZI WA SILAHA ZA KEMIKALI KATIKA BARAZA LA USALAMA LA UMOJA WA MATAIFA.


Picha iliyotolewa na mtandao wa habari wa upinzani wa Syria, Shaam News Agency, inaonesha miili ya watoto na watu wazima ikiwa imelala ardhini baada ya mashambulizi yanayoshukiwa kuwa sumu siku ya tarehe 21 Agosti yaliyofanywa na wanajeshi wanaounga mkono serikali mashariki mwa Ghouta, kwenye viunga vya Damascus. (AFP/Shaam News Agency).

KATIBU mkuu wa Umoja wa mataifa, Ban Ki Moon ameliarifu baraza la usalama jana jumatatu juu ya kile wakag
uzi wa silaha za kemikali walichogundua baada ya kufanya uchunguzi huko Syria.UN-Syria-Chemical-Weapons
Timu hiyo ilichukua sampuli ya mchanga kutoka kwenye mitaa ya Damascus na sampuli za damu kutoka kwa raia waathirika wa mashambulizi ya gesi ya sumu mwezi uliopita.

Kazi yao ilikuwa si kuangalia nani wa kulaumiwa lakini kuthibitisha shambulizi kutokea. Lakini Marekani inasema hakuna shaka yeyote kwamba jeshi la, Bashar Al Assad limehusika. 
http://www.voaswahili.com.

HII NI SEHEMU YA VIDEO YA TUKIO HILO KUONA BOFYA HAPA.
.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: