KIONGOZI wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe ametolewa nje ya
Bunge, baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai alipomwamuru akae
na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo. Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge kumtoa nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka pia isipokuwa Mh. Augustin Mrema wa TLP. Upinzani Bungeni unadai muswada wa katiba 2013 unamapungufu. CHANZO ITV

0 comments:
Post a Comment