Nikiona watu wanakata ovyo minazi tumbo huniuma! Mti wa mnazi ni kila kitu uswahilini. Kuanzia vifaa vya kuchezea watoto kama kifeni cha ukuti hadi kamba ya kujengea, vyote hivi mama yao ni mnazi. Leo hii tunayo pakacha hii ya dafu! Nani kasema waswahili sio wabunifu ?. Maelezo na picha MOHAMED MUOMBWA
0 comments:
Post a Comment