BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HUYU NDIYE ALIYEFUNIKA FIESTA 2013 NDANI YA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.

Diamond akifanya makamuzi katika fiesta 2013 ndani ya uwanja wa michezo wa jamhuri Morogoro, katika tamashala hilo Diamond hakushangiliwa sana tofauti na matamasha mengine ambayo nimewahi kumshuh
udia mkali huyu akitumbuiza anaweza kushika nafasi ya pili. 
ufunjifu wa maadili katika matamasha ya usiku ni O:
Vivazi vya wadada katika matamasha ya usiku huwa wengi wao wanavaa hivyo unavyoona.
Linah akiwajibika na shabiki wake, yeye anapata alama sita.

Muziki wa kizazi kipya Recho akitumbuiza mashabiki wake wakati wa tamshala fiesta 2013. anashika nafasi ya tano. maoni hayo haya ni mtazamo wa mwandishi wa blog jumamtanda.blogspot.com ambaye alihudhuria tamasha hilo kuanzia saa 1:30 usiku hadi majira ya saa 8 usiku juzi.
Tamina akighani mashairi ya hip pop wakati wa tamasha la fiesta ndani ya uwanja wa jamhuri Morogoro, msanii huyu kwa upande wangu ndiye niliona amekonga nyoyo za mashabiki katika fiesta hilo kutokana na kupewa sapoti kubwa na mashabiki pindi alipokuwa akiwaeleza jambo kupitia kipoza sautu, are red !!!!! yessssssss !!! kwa sauti nyingi tofauti na wasanii wengine. anashika nafasi ya kwanza.
 Ney wa Mitego akiwapagawisha mashabiki katika tamasha hilo. yeye anashika nafasi ya tatu.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Samir akitoa burudani kwa mashabiki waliofurika katika tamshala la fiesta 2013 katika uwanja wa jamhuri mkoani Morogoro jana usiku. anashika nafasi ya nne.
 Dj Ziro akiwajibikwa kwa kuhakikisha nyimbo zinakwenda vizuri kupitia ofisi yake huku akiwa sambasamba na wasanii waliokuwa wakitumbuiza.
 Huyu ni Dj Mully B kwa jina lake la kawaida Lumulike Menegele, vijana wanasema kichwa hicho ni mzaliwa wa mji kasoro bahari nikiwa na maana mkoa wa Morogoro naye akifanya kazi kama ile ya Dj Ziro.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: