KAKAKUONA pindi anapoonekana machoni mwa binadamu huwa na utaratibu wa kumwekea baadhi ya vitu vikiwemo vyakula, silaha na vitu vingine.
Baada ya kukusanya vitu na wananchi kumwekea vitu mbalimbali kama ilivyozoeleka anapoonekana Kakakuona lazima atoe utabiri na kuwaachi jambo wananchi huyu ndiye Kakakuona.
0 comments:
Post a Comment