BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HUYU NDIYE DEREVA WA LORI ALIYENUSURIKA KIFO KWA KUPAMBANA NA CHATU BAADA YA KUVAMIWA NCHINI ZAMBIA.



HellAsZambianManBitesPythonThatTriedToSwallowHim

Kelvin akiwa hospitalini baada ya kuokolewa na wenzake wakati chatu  aliyetaka kummeza nchini Zambia.


RAIA mkazi wa Mwinilunga nchini Zambia ameponea chupu chupu kupoteza maisha baada ya kuvamiwa na chatu.

Kelvin Katoka ambaye ni dereva wa malori yanayochimba mchanga katika machimbo ya Copa alirukiwa na chatu huyo mkubwa na kuanza kumzungurusha kwa nia ya kuanza kummeza mzima mzima.

Hata hivyo, Kelvin alipambana na chatu yule kwa kumng'ata sehemu mbali mbali za mwili wake bila mafanikio. 

Hapo Kelvina mwenye umri wa miaka 25 tu alijitahidi kuchomoa kisu mfukoni na kumchoma joka huyo mara kadhaa kabla hajaishiwa nguvu na kupoteza fahamu wak
ati ambapo bado chatu yule alikuwa tayari ameshinda vita hiyo na kumbana huku akiwamemminya na kuanza kummeza.

Kelvin akihi mate ya nyoka yule yakiwa kichwani mwake yakianza kukutirika ikiwa njia ya alainishwe ili aanze kumezwa, ndipo wafanyakazi wenzake wawili walipopita katika eneo hilo na kupamba na chatu yule na muachia huku waifanikiwa kumuua na Kelvin kumkimbiza Hospitalini ambapo hali ya Kelvin inaendelea vizuri sanjari na matibabu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: