VENANCE GEORGE.
Venance George anayeangalia kamera akiwa na waandishi wenzake wa vyombo mbalimbali vya habari katika mah
afali ya chuo kikuu cha Kiislam Morogoro (MUM) ambapo mahafali hayo Rais Jakaya Kikwete alikuwa mgeni rasmi mapema mwaka huu mkoani Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
afali ya chuo kikuu cha Kiislam Morogoro (MUM) ambapo mahafali hayo Rais Jakaya Kikwete alikuwa mgeni rasmi mapema mwaka huu mkoani Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
Venance George akiwa moja ya majukumu yake enzi za uhai wake akichangia mada katika ukumbi wa Savoy Morogoro. PICHA JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
HISTORIA FUPI YA MAREHEMU
VENANCE GEORGE.
Marehemu Venance George
Mhangilwa alizaliwa mnamo 8/12/1973 Bukoti wilaya ya Geita.
ELIMU:
-Marehemu alisoma katika shule
ya msingi Bugogo kuanzia mwaka 1981 mpaka mwaka 1987 alipohitimu elimu yake ya
msingi.
-Mnamo mwaka 1988 alianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Forest Hill iliyopo Morogoro na kuhitimu kidato cha sita mnamo mwaka 1994.
-Mnamo mwaka 1988 alianza kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Forest Hill iliyopo Morogoro na kuhitimu kidato cha sita mnamo mwaka 1994.
-Mwaka 1995 alijiunga katika
chuo cha uandishi wa habari na kuhitimu mwaka 1996.
AJIRA:
Marehemu alianza kazi ya uandishi
wa habari katika kampuni ya,
-Uhuru Publication Limited, 1996-1998.
-Kuna Entarprises Company
Limited, 1998-1999.
-Village Travel And Transport
Project (VTTP), 2001-2003.
-Swiss-Contact Tanzania
Limited, 2001-2003
-Mwananchi Communication
Limited, 2003 mpaka mauti yalipomkuta.
Pia alijiendeleza kimasomo
katika chuo kikuu huria cha Tanzania
ambapo alitakiwa kuhitimu shahada yake ya mawasiliano ya umma mwezi wa 12 mwaka
huu 2013.
MWISHO:
-Marehemu alikuwa akisumbuliwa
na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu na kifua hali iliyopelekea kwenda kulazwa
katika hospitali ya Aga Khan iliyopo jijini Dar es salaam na kupata nafuu,
Baada ya kurudi nyumbani hali ilbadilika tena na kupelekea kwenda kulazwa
katika hospitali ya Holly Cross Mission iliyopo mkoani Morogoro na baadaYe
kuhamishiwa katika hospitali kuu ya mkoa wa Morogoro.
Marehemu alipata nafuu na kuruhusiwa kurudi nyumbani , baada ya siku kadhaa hali ilibadilika tena na kupelekea kwenda kulazwa hospitali ya mkoa wa Morogoro hadi umauti ulipomkuta mnamo tarehe 26/09/2013 saa 9:15.

-Marehemu ameacha mjane na
watoto wawili wa kike na wa kiume.
SHUKRANI:
-Tunatoa shukrani zetu za dhati
kwa wale wote waliokuwa pamoja na sisi tangu marehemu alipoanza kuugua mpaka
leo hii , shukrani ziwafikie wafanyakazi wenzake, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu. Maelezo haya kwa mujibu wa Mratibu wa mazishia, Boniface Mtalimbo.n
RATIBA:
Muda
|
Tukio
|
Mhusika
|
|||||
1:00 – 5:30 AM
|
Watu kuwasili eneo la tukio
|
Wote
|
|||||
5:30 AM– 7:00 PM
|
Chakula
|
Wote
|
|||||
7:00 – 8:00 PM
|
Ibada
|
Wote
|
|||||
8:00 – 8:30 PM
|
Kuaga mwili wa marehemu
|
Wote
|
|||||
8:30 – 9:00 PM
|
Kusoma wasifu wa marehemu
|
Ndugu
|
|||||
9:30 – 10:00 PM
|
Salamu mbalimbali za
rambirambi
|
Mc
|
|||||
10:00 – 10:15 PM
|
Shukrani kutoka kwa familia
|
Mc
|
|||||
10:15 PM
|
Safari kuelekea Geita
|
Mc
|
|||||
0 comments:
Post a Comment