BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MASANJA MKANDAMIZAJI AELEZA ISHU YA SERIKALI KUSHIKILIA HATI YAKE YA KUSAFIRIA KISA ANATUHUMIWA KUJIHUSISHA NA MADAWA YA KULEVYA


http://infosourcestz.files.wordpress.com/2012/07/masanja-mkandamizaji.jpgMasanja Mkandamizaji afunguka alipolonga na Vijimambo kuhusu kudaiwa kuhusika na madawa ya kulevya na kuhusu kushik
iliwa kwa Passport yake na Serikali,Masanja amepinga vikali kuhusu kushikiliwa na passport yake na amedai kuwa anayo haikushikiliwa na serikali na kwamba habari za kuhusu yeye na madawa ya kulevyo ni mbali sana na yeye na habari hizo ni uzushi mtupu!! na kama kuna mwenye uhakika na hilo ajitokeze!!!
Hii ndio Nyumba ya Ghorofa ya Masanja Mkandamizaji inayomhusisha na madawa ya kulevya.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: