BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MATUMIZI YA BAISKELI NI ZAIDI YA KUIENDESHA KATIKA BARA LA AFRIKA.


Mzigo wa kilo 300.
Hakuna jambo lisilowezekana - labda hayo yalikuwa mawazo ya Mkazi huyu kutoka Msumbiji. Amepakia magunia sita ya mkaa kwenye baiskeli yake. Mzigo huo una uzito wa karibu kilo 300. Hapo hakuna tena kuendesha, kinachobaki ni kuisukuma baiskeli. Amefunga kamba kwenye usukani ili aweze kuiongoza baiskeli yake vizuri. DW
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: