uka ubishi wa nani hodari katika upigaji wa penalti baina ya watangazaji hao wakati wa bonanza la fiesta soka Morogoro 2013 katika uwanja wa Moro Veteran ambapo katika upigaji huo Mbwiga aliibuka kidedea kwa kupata nne na kukosa moja huko Dauda akipoteza minne na kupata 1. Picha jumamtanda.blogspot.com
Kiungo wa Liverpol Pedo (katikati) akiwatoka wachezaji wa Arsenal wakati wa mchezo wa nusu fainali.Picha jumamtanda.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment