MRISHO NGASA AONGOZA MASHAMBULIZI YA KUIUA RUVU SHOOTING KWA KUITANDIKA BAO 1-0 UWANJA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.
Winga machachari wa Yanga, Mrisho Ngasa, akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Stepano Mwasika, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, uliomalizika jioni hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. katika mchezo huo Yanga, imeshinda bao 1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza katika dakika ya 62.
Wachezaji wa Yanga, Simon Msuva (kushoto), Nadir Haroub 'Canavaro', wakiwania mpira katika lango la Ruvu Shooting, wakati wa mchezo wa Ligi kuu ya soka Tanzania bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Haruna Niyonzima (kushoto) akijaribu kumfinya beki wa Ruvu. Stephano Mwasika. http://www.sufianimafoto.com
0 comments:
Post a Comment