BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWENYEKITI WA JUKWAA LA WAHARIRI AKERWA NA KITENDO CHA SERIKALI KUYAFUNGIA MAGAZETI YA MWANANCHI NA MTANZANIA.


MARA baada ya habari za kufungiwa kwa magazeti ya Mtanzania na Mwananchi kutoka, Mhariri Mkuu Mtendaji wa New Habari Corporation, Absalom Kibanda aliong
ea na Mtangazaji wa kipindi cha Makutano Magic FM, Fina Mango na kuelezea namna alivyozipokea habari hizo na kukemea kitendo hicho alichodai ni cha kibabe na kuwa wahariri hawakupewa nafasi ya kujitetea.

Sikiliza mahojiano hayo hapa.

BOFYA HAPA ILI KUWEZA KUSIKILIZA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: