Askari kanzu akiwa amewadhibiti vijana watatu kwa kuwafunga kamba mkono ili apate urahisi wa kutii amri zake wakati akiwapeleka kituo kikuu cha polisi mkoa wa Morogoro wakati akitoka nao katika mji mdogo wa Mzumbe ambapo wanadaiwa kufanya matukio yanayohatar isha amani mkoani hapa.
.
Askari kanzu wa kituo kikuu cha polisi Manispaa ya Morogoro akiwa amemkwida kijana anayetuhumiwa kuiba pikipiki wakati akimpeleka katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani Morogoro ili kuweza kusikiliza kesi yake inayomkabili mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment