HIVI NDIVYO VITUKO VYA RAIS BARACK OBAMA, AKIKATIZA MTAANI ILI KUNUNUA SANDWICH mtanda blog 1:54 PM Edit RAIS wa Marekani, Barack Obama akikatiza katika maungio ya barabara ya 17 na Pennsylvania Avenue jijini Washington, D.C. Baada ya kutoka kwenye mgahawa wa mtaa wa jirani kununua sandwich katika tukio lililojitok eza Oktoba 4/ 2013. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment