BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

INSPEKTA WA JESHI LA POLISI KATIKA KITUO CHA POLISI WILAYA YA KILINDI APIGWA RISASI MKOANI TANGA.

 
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKKo4wVVZzUlX64hsXC2xAYU78lHON3dtpyESGGIpYYOwquziBZbuTNOr7bQW7f6u_QN6t8w2YfNjK96wJgz8aNRpzpRBiRtVbB_eZcvVfkwYyBUf7aJqtSYS1LT52IGvL_pBRmvGdunw/s1600/IGPmwema...jpg 
IGP SAID MWEMA.

Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi na kundi la watu wasiojulikana waliokuwa wanafanya maz
oezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolagana na Mwambe baada ya kutokea mapambano baina ya kikundi hicho na polisi. Chanzo ITV


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: