Kinga
ya mwili ni muhimu sana katika mwili wa mwanadamu. Inapokuwa sawa inatusaidia miili yetu kuishi bila magonjwa
yatokanayo na uambuk
izi wa virusi na bakteria. Au hutusaidia mwili kutorudiwa na magonjwa mara kwa mara.yatokanayo na uambuk
KINGA YA MWILI INAVYOFANYA KAZI:
Kila
unapoumwa, mwili unajitahidi kutafuta wavamizi (virusi & bakteria) ambao wamesababisha kuugua. Kinga ya mwili inapambana ili kuwaangamiza wavamizi.
Baada ya hapo, kinga hiyo (hizo) hutengeneza protini ili kwa siku za baadae ziweze kuwatambua hawa wavamizi endapo watajirudia.
Endapo watajirudia tena, basi kinga ya mwili itapambana nao na
kuwamaliza kabla hali ya ugonjwa kujitokeza, na hatimaye mtu kutojihisi kuumwa.
Hii husaidia mtu kutopata magonjwa mara kwa mara, au magonjwa kutojirudia. Mfano tatizo la mafua, wapo ambao wanaweza kumaliza
hata miaka 2 bila kuugua, ingawa virusi wa mafua wakati mwingine huwa anajibadilisha harudi mara ya pili kwa style kama aliyokuja
nayo mwanzo, kitu ambacho husababisha kwa wengine kuugua mafua mara kwa mara.
VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUONGEZA KINGA YA
MWILI
1. Mboga za majani

2. Matunda
3. Viazi vitamu
4. Karoti
5. Kitunguu saumu
6. Maziwa mgando
7. Uyoga
8. Mbegu za maboga (tafuna zilizokauka) http://manyandahealthy.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment