mkuu
wa mkoa wa mbeya Abbas Kandoro akiapa kuwa ameupokea salama mwenge wa
uhuru kama alivyokabidhiwa na mkuu wa mkoa wa Njombe jana.
mkuu
wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akimkabodhi mwenge mkuu wa wilaya ya
Mbeya dk Norman Sigala ambaye ataukimbiza mwenge huo kwenye halmashauri
yake.
Mkuu wa wilaya ya mbeya Dk Norman Sigala akikiri kuupokea mwenge huo
viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Njombe na wilaya ya Makete wakielekea kwenda
kuukabidhi mwenge huo kwa mkoa wa jirani wa Mbeya (picha zote na Edwin
Moshi)
0 comments:
Post a Comment