BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MHE MTEMVU AZUNGUMZA NA WANANCHI JUU UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM.

Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa wananchi wa mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sifa, Mtoni Sabasaba, Temeke, Dar es Salaam. Alifanya mkutano huo kwa lengo la kuelezea miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani humo kwa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Yahya Sikunjema akihutubia katika mkutano huo
Mtemvu akitaja miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani humo.
Baadhi ya viongozi wa CCM, Serikali na vyama vya upinzani wakiwa katika mkutano huo.
Mmoja wa wananchi akiuliza swali kwa viongozi akiwemo mbunge na diwani wa eneo hilo.
Mtemvu akijibu maswali.
Diwani wa Kata ya Mtoni Ali Kinyaka akijibu maswali ya wananchi.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Sikunjema na Mbunge Mtemvu wakicheza muziki wa majanga.
Kulia Mke wa Mbunge wa Temeke, akifurahi pamoja na wananchi baada ya mkutano huo kumalizika.
Mke wa Mbunge wa Temeke, ambaye pia ni Diwani wa Viti Maalum (wa pili kushoto) akicheza muziki pamoja na wananchi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: