
LULU MICHAEL
taasisi ya kuzuia kansa nchini ambapo baada ya zoezi hilo, waalikwa walijong
ea eneo la maakuli.
Huku akionekana mwenye ‘ubao’, Lulu alikwenda kwenye foleni na kuchukua pleti ya kwanza, akaifuta kisha akanyanyuka na kwenda kuchukua nyingine, nayo akaimaliza, baada ya muda akaenda kuchukua nyingine ambapo haikufahamika kama nayo aliifuta au alisaidiwa na mtu.
Akilizungumzia tukio hilo, Lulu aliliambia Ijumaa: “Nakula sana na hii ni kawaida yangu, najua watasema lakini kwenye msosi huwa sikai nyuma.”

0 comments:
Post a Comment