BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AFRIKA KUNA MAMBO !!!!. HIZI NI PICHA ZA SIKU.

Maji ni muhimu kwa kila kiume alichoumba mwenyezi mungu, hapa Ndege aina ya shoorwe anaonekana akipoza kiu kwa kunywa maji kutoka katika bomba lililosahaulika kufungwa vizuri jambo ambalo ni neema kwa viume wengine wenye mahitaji ya maji, moja ya kazi ya maji katika mwili wa kiumbe ni kurekebisha kiwango cha joto mwilini na faida nyingine.
 
Msanii Wanne Star ambaye ni mmojawapo wa wasanii wachache ambao wanadumisha mila na tamaduni zao akipaa kutoka angani mithiri ya ndege ili kuweza kutua ardhini, zoezi hilo linahitaji umakini wa hali ya juu na huyu angekuwa mchina amepata sifa nyingi sana.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: