BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BOKO HARAM NA ANSARU YAINGIZWA KATIKA ORODHA YA MAKUNDI HATARI YA UGAIDI.

Bango lenye picha ya kiongozi wa kundi la Boko Haram Abubakar Shekau, katika kijiji cha Baga, Maiduguri.

MAREKANI imeorodhesha makundi ya wanagambo wa Nigeria  Boko na Ansaru kama makundi ya kigaidi ya kigeni.


Katika taarifa Jumatano afisa wa idara ya kupambana na ugaidi ya Marekani Lisa Manaco alisema makundi hayo mawili yamewajibika na vifo vya maelfu ya watu kaskazini mashariki na katikati mwa Nigeria katika miaka ya hivi karibuni.

Alisema makundi hayo yamefanya mashambulizi mengi  katika makanisa na misikiti kuuwa raia. Marekani inashtumu Boko Haram kwa shambulizi la mwaka 2011 katika jengo la Umoja wa Mataifa mjini Abuja lililouwa watu 21. http://www.voaswahili.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: