...Akidhibitiwa asikimbie.
Mwizi huyo akishushiwa kibano na raia.
...Akijitetea baada ya kipondo.…
Mwizi huyo akishushiwa kibano na raia.
Akiwa amekalishwa chini kusikilizia maamuzi.
KIJANA mmoja jana jioni alinusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kutuhumiwa kuiba sanduku la kuhifadhia spana katika gereji moja iliyopo eneo la Bamaga, Mwenge jijini Dar es Salaam. (PICHA GPL)

0 comments:
Post a Comment