BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HII NDIYO TASWIRA AMBAYO UTAONA SIKU YA IJUMAA KATIKA BAADHI YA MITAA HASA KATIKA VIBARAZA VYA MATAJILI NDANI YA MANISPAA YA MOROGORO.

 
BAADHI ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro (ombaomba) wakiwa katika kibalaza cha mmoja wa matajiri wakisubiri ili kuweza kuwasaidiwa pesa kwa ajili ya kujikimu na hali ngumu ya maisha, tukio hilo hufanyika kila ijumaa ndani ya Manispaa ya Morogoro. PICHA/MTANDA BLOG.

WAKIWA WAMEKAA WAKISUBIRI WASAIDIWE NA TAJIRI HUYO MTAA WA MAKONGORO.
HAPA WAKIONGEA MAWILI MATATU KATIKA SUBIRA HIYO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: