Mabehewa matatu ya shirika la Reli Tanzania yakiwa yamedondoka eneo la Kichangani Morogoro na kuziba barabara kuu iendayo Nane Nane-Mjini wakati treni iliyokuwa ikitokea bara kuelekea Dar es Salaam kupata ajali, treni hiyo ilikuwa na mabehewa zaidi ya 20 ya matenki tupu ya mafuta. PHOTO/MTANDA BLOG.
0 comments:
Post a Comment