BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MKUU WA WILAYA YA BABATI KHALID MANDIA AONGOZA KIKAO CHA WADAU WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA MANYARA.

Mkuu wa Wilaya ya Babati, Mkoani Manyara, Khalid Mandia, akiongoza kikao cha wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa mkoa huo kilichofanyika mjini humo wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mkurugenzi wa Uhai na Takwimu wa NHIF, Michael Mhando, Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi ya mfuko huo Lydia Choma na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Martha Umbulla. 


Picha kwa hisani ya mireranitanzanite.blogspot.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: