BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWENYEKITI WA KLABU YA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE ASIMAMISHWA NA KAMATI YA UTENDAJI YA SIMBA.

Taarifa zilizothibitishwa kutoka Katika klabu ya Simba ni kwamba kamati ya utendaji ya klabu hiyo imemsimamisha mwenyekiti wa klabu Ismail Aden Rage kuongoza timu hiyo.
 
Kuhusiana na sababu zilizopelekea Rage kusimamishwa na kamati ya utendaji na Rage amechukuliaje uamuzi wa kamati ya utendaji, endelea kutembelea mtandao huu. Taarifa zaidi zitakujia.http://www.shaffihdauda.com/
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: