BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SERIKALI YACHIMBA MKWARA KWA WANAFANYA SHUGHULI ZA KIBINADAMY PEMBEZONI MWA RELI.

  Serikali imepiga marufuku wananchi kufanya shughuli zote za kibinadamu pembezoni mwa hifadhi za reli ikiwemo kujenga nyumba, kulima au kufanya biashara na kuagiza watu wote ambao wanajihusisha na shughuli hizo kuondoka haraka iwezekanavyo katika maeneo hayo ili kuepusha uharibifu wa reli na madaraja unaochangiwa watu hao na kulisababishia taifa hasara kumbwa.
Kauli hiyo ya saerikali inatolewa na naibu waziri wa uchukuzi Mhe Charles Tizeba wakati akifanya ziara ya kutembelea madaraja ya treni yaliyopo wilayani Bahi mkoani Dodoma ambapo amesema shuguliza kubinadamu zinazofanyika pembezoni mwa hifadhi za reli zikiwemo kilimo na kupitisha mifungo juu ya reli zinaweza kusababisha reli na madaraja kusombwa na maji kipindi cha mvua.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: